Tuwajulishe ulaya na marekani magholofa yameporomoka, chanjo tulizoleta zimepasuka na tupige picha wamachinga wakihama kuwa nyumba zao zimeungua kutokana na gesi.
Tutapata hela.
Mimi nipo mbali Sana na eneo hilo. Nawashukuru wote ambao wanaishi maeneo jirani na hapo kama waliweza kulisikia na kuleta taarifa kuhusu tetemeko Hilo.