tetesi: Airtel Money..!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Airtel money hutumiwa na wenye MAGOVI ndo maana kauli yao ni moja "HAKATWI MTU HAPA" wapo kwenye mgomo wa kutahiriwa!.
 
Kwani ungekaa kimya ukasoma thread za wengine ungepungukiwa nini?
 
Kwani ungekaa kimya nakuto comment ungepungukiwa nini?

Kijana najaribu kukueleza na kukumbusha kwamba ni vizuri siku nyingine kabla haujaweka thread yako basi uwe umechukua mda hata kidogo tu kufikiria!
 
Kijana najaribu kukueleza na kukumbusha kwamba ni vizuri siku nyingine kabla haujaweka thread yako basi uwe umechukua mda hata kidogo tu kufikiria!

Ha ha haaa!
Ukisikia Yalaaa...................
 
C'mon where are your senses of humour? This is a jokes forum and no offense was intended.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…