Pre GE2025 Tetesi: Baadhi ya vijana wa UVCCM kutoka mkoa wa Kilimanjaro wameeleza kutoridhishwa na uteuzi wa Rais na Makamu wake kwa mwaka 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unawasingizia.
Hizo akili wamezitoa wapi wakati bongo zao kachukua Chura?
CCM woooote wako mateka pale Kizimuni,hawafurukuti.
 
Wamechukua hatua gani hao uvccm wa Kilimanjaro au wanabwekea uvunguni tu kama mbwa Koko!
 
Acha wauane wenyewe. Cc em wameishiwa mbinu. Kilichobaki ni kubaka uchaguzi
 
Too late, wasubiri labda 2030
 
Too late, wasubiri labda 2030
Kwanza hao tangu lini wakapata mandate ya kuhoji masuala mazito kama hayo ???!
Hao kazi zao huwa ni za kuwalinda wazee wao katika Chama na kutumwa kuwashughulikia wanao wakosoa Viongozi 😳🙄👍 !
 
Msigwa ni mdau wa demokrasia, nashangaa ukimya wake ktk hili
 
Ameomba kupumzika Mzee Kinana ..wamempa kijana Wassira.....
 
Uvccm ni sawa na waumini kanisani haruhusiwi kuuliza swali, kuhoji chochote, umeelewa haujaelewa nenda nyumbani utarudi jpili ijayo.
 
Wanakiri kwamba uchaguzi wa Chadema ulikuwa na viwango vya juu vya uwazi na ushirikishaji, tofauti na uchaguzi wa CCM ambao waliona haukuwa wa haki wala wa uwazi.👌🏿💪🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…