Pre GE2025 Tetesi: Baadhi ya vijana wa UVCCM kutoka mkoa wa Kilimanjaro wameeleza kutoridhishwa na uteuzi wa Rais na Makamu wake kwa mwaka 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Samia amewazidi akili watu wote walee..!
Unaweza kuona kawazidi akili, kumbe ndiyo kafanya ujinga ambao hakuhitaji kuufanya na kujitengenezea maneno ambayo yanaweza kupelekea ugombea wake kuwekewa pingamizi.

Samia amekuwa kama mtu ambaye alikuwa na uwezo wa kupass mtihani, lakini akaibia majibu, na kitendo cha kuibia majibu, kimemfanya ajiwekee doa la kuweza kuhojiwa urais wake wakati wote.

Hiyo si akili, huo ni ujinga.
 
Tafuta agenda nyingine siyo huu uharo. Pambaneni na Hali yenu nyie nyumbu mambo ya CCM yako juu ya uwezo wenu
 
Kumbukeni zile radio stations mbili za Msoga na Bumbuli zilisemaje kuhusu wafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…