Monyiaichi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 1,826
- 508
Mbafu, friend sms ndo unaileta hapa?
namwombea atoke huko lupago,maana unakufa hata kwa mawazo
Akitoka watoto wetu watashindwa kwenda kwenda shule,maana atawararua kinyume na maumbele.Hafai kwenye jamii huyu,bora afie huko huko.
una hakika na unachokinena.............
Sasa we unafikiri kafungwa kwa kesi ya uzururaji?
una hakika na unachokinena.............
Akitoka watoto wetu watashindwa kwenda kwenda shule,maana atawararua kinyume na maumbele.Hafai kwenye jamii huyu,bora afie huko huko.
Mie nilikuwa mmoja wa watu walioakuwa wakilaani sana kufungwa kwa babu seya na wanae, nilipokutana na mtu ambaye mtoto wa rafiki yake ni mmoja ya wale watoto walioharibiwa, akanielezea jinsi alivyofahawamu namna ya watoto wale walivyovurugwa huko nyuma nilibaki speechless na kushindwa kujua nimuamini nani. Ni Mungu pekee na akina Babu Seya wenyewe ndio wanaojua ukweli wa hili sakata
.
Acha upimbi bana