Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
CRDB nao wamefungua branch Burundi na Hong kong. Mohamed Dewji ne anafanya biashara mpaka ethiopia, msumbiji. Wanajitanua tu kibiashara kitu ambacho ni kizuri na cha kujivunia kama watanzania
Ndo nasikia leo kuna tawi Hong Kong.