Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,496 Jul 18, 2016 #21 kabila01 said: CRDB nao wamefungua branch Burundi na Hong kong. Mohamed Dewji ne anafanya biashara mpaka ethiopia, msumbiji. Wanajitanua tu kibiashara kitu ambacho ni kizuri na cha kujivunia kama watanzania Click to expand... Ndo nasikia leo kuna tawi Hong Kong.
kabila01 said: CRDB nao wamefungua branch Burundi na Hong kong. Mohamed Dewji ne anafanya biashara mpaka ethiopia, msumbiji. Wanajitanua tu kibiashara kitu ambacho ni kizuri na cha kujivunia kama watanzania Click to expand... Ndo nasikia leo kuna tawi Hong Kong.