Tetesi: Benson Kigaila kurejea Chadema na ataomba msamaha kwa Umma

Tetesi: Benson Kigaila kurejea Chadema na ataomba msamaha kwa Umma

Bado ni Tetesi kutokea maeneo ya Bahari Motors Kijitonyama jirani na KKKT

Ngoja tuone
Wewe Yohana Mbatizaji, una akili kiasi kuliko wana CCM wenzako wengi..

Tunapowaambia hakuna uchaguzi mwaka huu 2025 muwe mnaelewa..

Cha kushangaza, watu wanababaishwa na maandalizi na mbwembwe bandia za CCM na vibaraka wao kina ACT WAZALENDO, CHAUMA na vyama vikaragosi vya CCM vingine..

Bila Reforms na bila CHADEMA forget about uchaguzi this year...

Hao kina Kigaila na wenzao ndio sasa wanafumbuliwa macho na kuuona ukweli lakini wakiwa wameshaharibu sifa na legacy zao njema walizokuwa nazo CHADEMA..

Hata wakirudi, HAWAWEZI kuwa na value na hadhi ile waliyoipaka mavi kisha wakakimbia wakirusha matusi...

Usitukane wakunga ungali una uzazi unazaa watoto...!!
 
Back
Top Bottom