Tetesi:Bundi atua msimbazi ,kwa vilao vile Omog akibaki Tanzania kwa masaa 18 ijayo mniue

Omog hafai. Hiyo simba imgenolewa na Lwandamila juzi ingeshinda bao nyingi sana....!
 
Nenda magogoni ukaf.. r ss
 
Mtu wa kungolewa Simba ni aliyesajili wachezaji wafuatao
1. Shomari Kapombe
2. Salumu Mohamed (nduda)
3. John Boko
4. Nicolous Gyan
1.Shomari Kapombe-alisajiliwa
akiwa mzima, aliumia akiwa na Timu ya Taifa.

2.Said Mohamed(Nduda)alisajiliwa
akiwa mzima, ameumia akiwa mazoezini na Simba.

3.John Bocco-Umri umeenda ila bado ana mchango kwa timu. Hana tofauti na Tambwe au Ngoma wanavyohangaika na majeraha.

4.Nicolaus Gyan-Ni mchezaji
mzuri, ndio maana hadi anaondika kwenye ligi yao aliondoka akiwa wa pili kwa ufungaji.

Timu kushindwa kufanya vizuri, ni swali analoweza kujibu Omog peke ake maana ana kikosi kipana tu.
 
Hoya marehemu...upo kaburi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…