Tetesi:Bundi atua msimbazi ,kwa vilao vile Omog akibaki Tanzania kwa masaa 18 ijayo mniue

Omog hafai. Hiyo simba imgenolewa na Lwandamila juzi ingeshinda bao nyingi sana....!
 
Wana msimbazi leo mitaa ya jioni ilinikutia kariakoo mitaa ya msimbazi ,nikaona kijiwe cha kahawa cha wanachama wa simba nikaamua niende kujumuika nipate vikombe 3 vya kahawa ili nichangamshe musuli na nguvu ya kuhimili foleni na kurudi nyumbani na pia kahawa ina msaada kuchelewesha bao kwa sie tulio oa na kulinda heshima .

Sasa wakati na kunywa kahawa vikao na maneno yalikuwa yanasemwa mpaka hamu ya kuendelea kunywa kahawa iliniishia .

Kwa niliyoyasikia kama kocha Joseph Omog akibakia simba na Tanzania kwa masaa 18 ijayo nitaenda kutoa haja kubwa mitaa ya magogoni
Nenda magogoni ukaf.. r ss
 
Mtu wa kungolewa Simba ni aliyesajili wachezaji wafuatao
1. Shomari Kapombe
2. Salumu Mohamed (nduda)
3. John Boko
4. Nicolous Gyan
1.Shomari Kapombe-alisajiliwa
akiwa mzima, aliumia akiwa na Timu ya Taifa.

2.Said Mohamed(Nduda)alisajiliwa
akiwa mzima, ameumia akiwa mazoezini na Simba.

3.John Bocco-Umri umeenda ila bado ana mchango kwa timu. Hana tofauti na Tambwe au Ngoma wanavyohangaika na majeraha.

4.Nicolaus Gyan-Ni mchezaji
mzuri, ndio maana hadi anaondika kwenye ligi yao aliondoka akiwa wa pili kwa ufungaji.

Timu kushindwa kufanya vizuri, ni swali analoweza kujibu Omog peke ake maana ana kikosi kipana tu.
 
Wana msimbazi leo mitaa ya jioni ilinikutia kariakoo mitaa ya msimbazi ,nikaona kijiwe cha kahawa cha wanachama wa simba nikaamua niende kujumuika nipate vikombe 3 vya kahawa ili nichangamshe musuli na nguvu ya kuhimili foleni na kurudi nyumbani na pia kahawa ina msaada kuchelewesha bao kwa sie tulio oa na kulinda heshima .

Sasa wakati na kunywa kahawa vikao na maneno yalikuwa yanasemwa mpaka hamu ya kuendelea kunywa kahawa iliniishia .

Kwa niliyoyasikia kama kocha Joseph Omog akibakia simba na Tanzania kwa masaa 18 ijayo nitaenda kutoa haja kubwa mitaa ya magogoni
Hoya marehemu...upo kaburi gani?
 
Back
Top Bottom