Absolutely..tena bila aibu..Hii ni sawa na 180% RIBA KWA MWAKA/INTEREST RATE PER ANNUM kwa makato yanayofuata mfumo wa REDUCING BALANCE. Vivyo hivyo ni sawa na 125.5% RIBA KWA MWAKA kwa mfumo wa FLAT RATE.
This is Shockingly and unbelievable Interest rate !!!
Nataka kuweka chumba na sebule, nataka kuchukuwa 50m/= kwa miaka 10..Taja kiasi unachotaka kukopa kwa hiyo miezi miwili
Ila kuna mkopo wa haraka nahitaji kama 2m/- nirudishe baada ya miezi 2, iwe bank au microfinance yoyote ile..Taja kiasi unachotaka kukopa kwa hiyo miezi miwili
Ila kuna mkopo wa haraka nahitaji kama 2m/- nirudishe baada ya miezi 2, iwe bank au microfinance yoyote ile..
Tupe options wapi mkuu?Kabla ya kuchukua uamuzi wa kukopa kwenye taasisi yoyote ya fedha ni muhimu kujua:-
1. Kiasi cha riba kwa mwaka
2. Mfumo wa ukokotozi (Reducing balance au Flat rate)
3. Gharama nyinginezo zinazoambatana na mkopo (Bima, gharama za maandalizi ya mkopo n.k)
But sio kwa riba za kwenye ile Chart !!! Maana kwa kipindi cha hiyo miezi 2 utahitajika kurejesha jumla ya TZS 2,460,466/= ikiwa ni kwa rejesho la TZS 1,230,233/= kwa mwezi. Hivyo kufanya riba ya mkopo mzima kuwa TZS 460,466/=
Dhamana ya huo mkopo ni nn mkuu?Nataka kuweka chumba na sebule, nataka kuchukuwa 50m/= kwa miaka 10..
Kwanza kabla ya yote:-Ila kuna mkopo wa haraka nahitaji kama 2m/- nirudishe baada ya miezi 2, iwe bank au microfinance yoyote ile..
All in qll CBA ni miongoni mwa banks zinazoelekea kufariki kifo cha mende hapa tanzaniaYes, wamefanya hivyo base lending interest rate....ila rate ni negotiable kutegemeana na mkopaji? ukiwa mkubwa na wao wankuhitaji zaidi kuliko wewe wavyo wahitaji wao mwazungumza na mnakubaliana rate chini ya hapo.
All in qll CBA ni miongoni mwa banks zinazoelekea kufariki kifo cha mende hapa tanzania
Hivi Benki za Kiislam ni kwa waislam tu!Kwanza kabla ya yote:-
Achana na hiyo taasisi
Kwa mtizamo wangu, IMEKAA KITAPELI TAPELI HIYO.
Mara mia uende NMB, Benki ya posta Tanzania au Benki ya posts Zanzibar.
Kama ni Muislamu,
Nenda Benki za kiislamu kule ni zaidi ya nafuu
Kwny MPAWA wanapigwa si kitoto.All in qll CBA ni miongoni mwa banks zinazoelekea kufariki kifo cha mende hapa tanzania
Hiyo kawaida, mbona NMB wapo rate hiyo muda mrefu? Kuwa makini na masharti ambatanishi wakati wa kukopa.Nimepata hizi habari ila sina uhakika nazo kwamba CBA bank wamepunguza interest rate from 24% to 21%, ingawa hii rate sio friendly pia ila kama wamepunguza nadhani ni wakati wa mabenki sasa kuangalia namna ya kuwasaidia wananchi wanaopenda kukopa kwa ajili ya maendeleo katika nyanja mbalimbali kwa kupunguza riba zao.
Kama kuna mwenye uhakika wa hii taarifa atusaidie maana mimi nimezisikia kwa watu pia sijapata official source ya kuweka ukweli wa taarifa