Tetesi; CBA bank wametangaza punguzo la interest rate up 21%

Tetesi; CBA bank wametangaza punguzo la interest rate up 21%

Hii ni sawa na 180% RIBA KWA MWAKA/INTEREST RATE PER ANNUM kwa makato yanayofuata mfumo wa REDUCING BALANCE. Vivyo hivyo ni sawa na 125.5% RIBA KWA MWAKA kwa mfumo wa FLAT RATE.

This is Shockingly and unbelievable Interest rate !!!
Absolutely..tena bila aibu..
 
Ila kuna mkopo wa haraka nahitaji kama 2m/- nirudishe baada ya miezi 2, iwe bank au microfinance yoyote ile..

Kabla ya kuchukua uamuzi wa kukopa kwenye taasisi yoyote ya fedha ni muhimu kujua:-
1. Kiasi cha riba kwa mwaka
2. Mfumo wa ukokotozi (Reducing balance au Flat rate)
3. Gharama nyinginezo zinazoambatana na mkopo (Bima, gharama za maandalizi ya mkopo n.k)

But sio kwa riba za kwenye ile Chart !!! Maana kwa kipindi cha hiyo miezi 2 utahitajika kurejesha jumla ya TZS 2,460,466/= ikiwa ni kwa rejesho la TZS 1,230,233/= kwa mwezi. Hivyo kufanya riba ya mkopo mzima kuwa TZS 460,466/=
 
Tupe options wapi mkuu?
 
Ila kuna mkopo wa haraka nahitaji kama 2m/- nirudishe baada ya miezi 2, iwe bank au microfinance yoyote ile..
Kwanza kabla ya yote:-

Achana na hiyo taasisi

Kwa mtizamo wangu, IMEKAA KITAPELI TAPELI HIYO.

Mara mia uende NMB, Benki ya posta Tanzania au Benki ya posts Zanzibar.

Kama ni Muislamu,
Nenda Benki za kiislamu kule ni zaidi ya nafuu
 
Yes, wamefanya hivyo base lending interest rate....ila rate ni negotiable kutegemeana na mkopaji? ukiwa mkubwa na wao wankuhitaji zaidi kuliko wewe wavyo wahitaji wao mwazungumza na mnakubaliana rate chini ya hapo.
All in qll CBA ni miongoni mwa banks zinazoelekea kufariki kifo cha mende hapa tanzania
 
Kwanza kabla ya yote:-

Achana na hiyo taasisi

Kwa mtizamo wangu, IMEKAA KITAPELI TAPELI HIYO.

Mara mia uende NMB, Benki ya posta Tanzania au Benki ya posts Zanzibar.

Kama ni Muislamu,
Nenda Benki za kiislamu kule ni zaidi ya nafuu
Hivi Benki za Kiislam ni kwa waislam tu!
 
Nimepata hizi habari ila sina uhakika nazo kwamba CBA bank wamepunguza interest rate from 24% to 21%, ingawa hii rate sio friendly pia ila kama wamepunguza nadhani ni wakati wa mabenki sasa kuangalia namna ya kuwasaidia wananchi wanaopenda kukopa kwa ajili ya maendeleo katika nyanja mbalimbali kwa kupunguza riba zao.

Kama kuna mwenye uhakika wa hii taarifa atusaidie maana mimi nimezisikia kwa watu pia sijapata official source ya kuweka ukweli wa taarifa
Hiyo kawaida, mbona NMB wapo rate hiyo muda mrefu? Kuwa makini na masharti ambatanishi wakati wa kukopa.
 
Back
Top Bottom