Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Binti wa chenge anaingiaje kwenye suala hili? hii inaonyesha jinsi watanzania wengine walivyo na fikra mbovu. Unataka binti awe rahisi ili iweje? wewe tafuta masiha mshikaji acha masuala ya ngono mana huko ndiko unakoelekea. ukimwi utakuua kaka
Dua, Icadon, Insurgent, kafara, Kakalende, kakindomaster, Mama, Mtindiowaubongo, mwanatanu, QM, Richard, siWA baRAFU, Susuviri,Zanaki
naona wote mko online
safi sana
Miaka 30ya utumishi sio michache we kufa tu na umaskini on pretence thatu will rather die poor kuliko kuwaibia watanzania. Sio kila mtu ni mwizi amka kaka acha kusingizia umaskini wako katika mafanikio ya wenzako
What a coincidence, jk kuingia bongo na vijisenti kunywa/nyweshwa sumu!
...uunge dots wakati huna kiungio.leet habari bwana WE DARE TO TALK OPENLY HAPA bwan unaficha ficha nini, hebu lete mambo sisi tuunge dots mkuu
Haiusiki kabisa, hiyo futa
mbona mkali hivyo..? simba na ukali wake alipewa kikombe cha chai akanywa (kulikuwa na picha hiyo pale maeneo ya Posta kwenye jengo fulani sikumbuki)...
Miaka 30ya utumishi sio michache we kufa tu na umaskini on pretence thatu will rather die poor kuliko kuwaibia watanzania. Sio kila mtu ni mwizi amka kaka acha kusingizia umaskini wako katika mafanikio ya wenzako[/QUOTE
tafadhali waombe radhi watu wenye uzalendo na nci yao, kuna walimu wamefundisha zaidi ya hiyo miaka 30 lakini ni maskini mbaya, kuna wauguzi wamelitumikia taifa muda mrefu sana lakini bado maskini, kuna makarani, wanajeshi, n.k, walijitoa kwa taifa lakini bado ni maskini, kutokana na watu kutafuna mapesa kana kwamba wao tu ndo wanatakiwa waishi!!kwa hiyo wewe unawalaumu watumishi kama hawa si ndiyo watetee, lakini, i have a dream, soon and very soon, the silent majority will take action na sjui mtajificha wapi.
THE HIGHER YOU CLIMB THE FURTHER YOU FALL
Sasa hapa ulikuwa na hoja ipi mpaka useme hoja hujibiwa na hoja ndugu yangu, Swali ni kuwa binti wa chenge anaingiaje kwenye hili au huelewi maana mnaanza kuvuka mpaka zungumza ya chenge mwanae wala si sehemu ya mazungumzo haya au una kaagenda ka siri dhidi ya kabinti chenge
Mtasubiri anywe sumu mpaka kiama yu mzima kabisa. Wakati mwenzenu anawekeza kwenye vitega uchumi nyie mnawekeza kwa mabinti. All u can get from mabinti ni ukimwi au watoto, nothing more.
Mhhh,
Yale yale..!
Huyu "ndugu" yako ndio aliyeingiza maswala ya mabinti
Lazima tujue maana mtaji wa lile duka unaweza ukawa umepatikana kwa hela za walipa kodi.
Shida yetu ni kutotaka kufanya kazi maisha yakiwa magumu tunatafuta mchawi. poleni watanzania kama kweli hii ndio dhana. jakaya ana kazi