TETESI: Dangote kuinunua Yanga

Ngoja niongee na babu yangu akili mali alegeze vyuma maana hali si hali.


Akili za yule mzee anaweza kukataa pia
Yule mpinzan wa kila kitu,ckhz haji clubun maana hana nauli,vyumaa vimemkazia atar
 
Hati zote za club ya yanga anazo bi Shadia Karume..
Kwanini yeye? Kuna kipindi mzee mmoja wa Yanga alidai anazo, wakati wanahangaikia kibali cha Ujenzi wa uwanja.
 
Mali zote za umma zitarud kwa wahusika akili ufukara ck zake zahesabika,hao ndo yanga bomba wanaishi kwa viingilio getini
Wazee hawa wanatakiwa wabadilike waende na wakati.
 
Wa mkoani
 
Wewe bila shaka msimbaz.
 
can't imagine siku Fulani tunasikia "kesho ndio kesho asiye mwana aeleke jiweee. kesho ni simba na dangote fc" natamani niwepo
 
Mbona nasikia D.Shika ndio anamalizia taratibu za kisheria akabidhiwe timu yake
 
Bullshiit! Yaani Dangote aache kufanya Bussiness zake, eti aje kuinunua kandambili!. This is ridiculous. Kwa nini asiinunue Enyimba ya kwao? Kwa nini asiinunue TP Mazembe inayocheza huko duniani? Au kwa nini asiinunue Simba inayojulikana Africa? Timu ya Kandambili level yao ni kunnuliwa na akina Mzee Akilimali bana, Dangote level yake Arsenal BVB Dortmund simba Enyimba. Yeboyebo acheni Hizo, Juzi tu nimewaona hapa Morogoro mnapata stafstahi ya uji bwa ulezi na mihogo hapa Msamvu halafu leo mnajitia matawi ya Juu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…