TETESI: Dangote kuinunua Yanga

TETESI: Dangote kuinunua Yanga

kuna nyepesi nyepesi kwamba Billionea Aliko Dangote kuinunua club ya Dar young African, na hii inasemekana imetokana na ushawiwishi wa mwanachama na shabiki kindakindaki wa watoto wa jangwan yaan mzee wa msoga.Hii itakua habari njema sana kwa fans wa Dar es salaam Young African
Mjeekuuluza NA utaratibuu wa tenda uliotumikamaana
 
'Shadow buyer' ...unajua Afrika kuna mambo mengi tusiyoyajua!
 
Ngoja niongee na babu yangu akili mali alegeze vyuma maana hali si hali.


Akili za yule mzee anaweza kukataa pia
 
Inashangaza sana kwamba hata hati za jengo la Yanga anazo huyu mzee siyo Katibu wala Mhasibu wa Yanga.
Mali zote za umma zitarud kwa wahusika akili ufukara ck zake zahesabika,hao ndo yanga bomba wanaishi kwa viingilio getini
 
Azalishe kwanza saruji ya kutosha na asambaze kwa bei nafuu kama alivyo ahidi. Hapa mwanza hakuna kabisa hiyo saruji yake na matokeo yake tunapigwa mpaka 18,000/= kwenye kampuni zingine. Sasa mbwembwe zake za utajiri asambaze kwanza cementi mapka watu waichoke ndio aingie kwenye anasa kama mpira
 
Hizo Ndoto ziliotwa Sana mwaka Jana, vipi zimeanza tena kuotwa na Vyura? Dangote aache kununua timu Uingereza au kwao Nigeria ambako soka Lipo juu na mashabiki wengi aje awanunue vyura? Kodisheni bhana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ngoja waje wenyewe.
 
Back
Top Bottom