BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Dah blaza punguza kiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshakua Na Pesa Na Umaarufu Mkubwa, Hata Kama Akifanyaje Atapendwa Tu Na Mademu WatamgombaniaHilo pozi la mdomo wa diamond na hiyo minjino sasa duh!Ila mie namtakia kheri na baraka tele
Jay z chalii flani yuko huku uswahilini sio yule marekani mkuuWabongo buana JAY Z yupi?
Kwa sasa, ni rahisi kwa Diamond kupata collabo na Prince, Michael Jackson na Biggie Smalls katika wimbo mmoja, zaidi ya ilivyo kupata collabo na Jay-Z.
Weezy F Baby.....Niliangalia hiyo picha kwa haraka nikadhani ni Lil Wayne .
Ndio handsome wenu! Au wewe humtaki?Hilo pozi la mdomo wa diamond na hiyo minjino sasa duh!Ila mie namtakia kheri na baraka tele
Mguu huo umemchanganya mtu mpaka kaamua kujilipua kwenye uziHilo pozi la mdomo wa diamond na hiyo minjino sasa duh!Ila mie namtakia kheri na baraka tele
Mie simtakiNdio handsome wenu! Au wewe humtaki?
Huyo mtu aliyejilipua amefariki au yupo hospital....[emoji15]Mguu huo umemchanganya mtu mpaka kaamua kujilipua kwenye uzi
What does the F stand for? as far as I know it changes every bloody time.Weezy F Baby.....
Mie simtaki
Well, well, this one is big! Baada ya yeye mwenyewe pamoja na meneja wake Sallam kuthibitisha kuwa kuna collabo ya Diamond pamoja na mega superstars wa Marekani, Rihanna na Rick Ross, hitmaker huyo wa Salome ametease kuwepo kwa nyingine na samaki mkubwa zaidi kwenye bahari ya muziki wa Marekani.
![]()
Akiongea hivi karibuni na mtangazaji wa Clouds FM B-Dozen kwenye show yake ya Beach Party Jangwani Sea Breeze, Diamond alisema, “[Kitu] ambacho sijakifanya, ni kutoshoot nyimbo yangu na Jay Z, yawezekana ikawa ni tatizo hilo pia labda,” alisema na kusababisha shangwe kutoka kwa watu wengi waliokuwa wakisikiliza mahojiano hayo.
Dozen alimuuliza,” Unataka kusemaje, kwamba una collabo na Jay Z?”
“Ahh Dozen tuishie hapo,” alijibu Chibu kwa kicheko. Kabla ya Dozen kumalizia,” halafu huyu hapa anatuachaga hivi hivi kila siku yaani.”
Kama asemacho Diamond kina ukweli wowote, hiyo inaweza kuwa silaha nyingine ya kuringishia katika career yake, sababu Jigga si mtu wa mchezo mchezo kumpata kirahisi kwa collabo, hata Wamarekani wenzake kumshirikisha ni bahati!
DJ Khaled na ukubwa wake wote, alitumia mwaka mzima ili kumpata kwaajili ya kumshirikisha kwenye album yake ya mwaka huu, Major Key.
Source: www.bongo5.com