Tetesi: Diamond afanya collabo na Jay Z!

Japo mimi ni team diamond ila hii habari kama siamin siamin ivi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niliangalia hiyo picha kwa haraka nikadhani ni Lil Wayne .
 

Kwaiyo unataka tufanyeje??
 
Kiki za kijinga ni kama

Lebo nyingi kubwa zimenifuata lakini nimezikataa ikiwemo Rock Nation - Diamond

WCB tumeingia mkataba wa zaid ya tsh bil 8 na Universal Music Group (UMG) - Diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…