Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
Kwa hivyo hata Rest In Peace tena?Baada ya kifo cha kuhuzunisha Cha Faru Fausta aliyekuwa moja ya vitega uchumi nchini, sasa imebainika atakushwa na kuwekwa eneo maalumu. Lengo kuu ni kuendelea kuliingizia taifa hela za kigeni kupitia utalii wa ndani na nje na pia utafiti kwa vizazi vya baadae vyenye kuvutiwa na wanyama pori.
Amenidokeza Afisa wanyama pori. Je hajaanza kuoza au nazo hizi ni siasa?
Atarest lakini mwili tutaendelea kuuona na kufaidi kama taifaKwa hivyo hata Rest In Peace tena?
Hapana
Nashangazwa na habari za kuzikwa au kutupwa aliwe na wanyama.Ni kawaida sana kuona wanyama, wadudu, na hata binadamu kukaushwa
Ni jambo zuri na litaingiza Pato pia
Sent from my iPhone using Tapatalk
Nashangazwa na habari za kuzikwa au kutupwa aliwe na wanyama.
Hata mimi nilifikiri hivyo lakini baada ya kuona picha ya postmortem yake haitawezekana tena kwani wamemchinja kama ng,ombe wa machinjio ya kienyeji.Baada ya kifo cha kuhuzunisha cha Faru Fausta aliyekuwa moja ya vitega uchumi nchini, sasa inasemekana atakushwa na kuwekwa eneo maalum.
Lengo kuu ni kuendelea kuliingizia taifa hela za kigeni kupitia utalii wa ndani na nje na pia utafiti kwa vizazi vya baadae vyenye kuvutiwa na wanyama pori.
Amenidokeza Afisa wanyamapori. Je, hajaanza kuoza au nazo hizi ni siasa?
Arusha kuna kampuni ya Arusha Taxidermist ambayo hutengeneza taswira ya mnyama na ndege aliyeuawa au kufa kwa kujazia ndani ya ngozi na kurejesha muonekano wa kiumbe hai! Kiwanda hili kiko miaka mingi sana yangu 70's.Baada ya kifo cha kuhuzunisha cha Faru Fausta aliyekuwa moja ya vitega uchumi nchini, sasa inasemekana atakushwa na kuwekwa eneo maalum.
Lengo kuu ni kuendelea kuliingizia taifa hela za kigeni kupitia utalii wa ndani na nje na pia utafiti kwa vizazi vya baadae vyenye kuvutiwa na wanyama pori.
Amenidokeza Afisa wanyamapori. Je, hajaanza kuoza au nazo hizi ni siasa?
habari njema hiziAtahifadhiwa kwa muda mrefu sana ili mpaka wajukuu waje kumuona Mkuu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hivi kachinjwa?Si
Hata mimi nilifikiri hivyo lakini baada ya kuona picha ya postmortem yake haitawezekana tena kwani wamemchinja kama ng,ombe wa machinjio ya kienyeji.
Si
Hata mimi nilifikiri hivyo lakini baada ya kuona picha ya postmortem yake haitawezekana tena kwani wamemchinja kama ng,ombe wa machinjio ya kienyeji.
Kwanini unawaita wakoloni mweusiFaru Fausta alifikiri akifa atapumzika, mkoloni mweusi kakataa amesisitiza Fausta ataendelea na kazi yake ya kuingiza pesa kwa mkoloni mweusi Hadi mwisho wa dahali(khiyama).
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana akahamiswa