Hii ni baada ya Roberto Martinez kufungashiwa virago vyake .
Uvumi umekolezwa zaidi baada ya Frank kuachia kiti cha ukocha Ajax Amsterdam .
Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi ndoto ya De Boer ilikuwa kufundisha PREMIER LEAGUE .
Erythrocyte sasa amejitosa rasmi kwenye jukwaa hili , hivyo kaa mkao wa kula kwa habari zaidi .