Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upuuzi mtupu.Goal Keeper wa ZANACO Toaster Nsabata ,wiki hii anatua msimbazi kuja kufanya majaribio.
Wanasimba maoni yenu .
View attachment 1643028
Kwa hiyo unaleta anayeweza ya juu kisha ya chini ni pazia.It's a welcome news. Manula wetu anatupa pressure kwenye mipira ya juu inayopigwa kutoka mbali.
Atatolewa kwa mkopoBeno apewe nafasi jamani
Hivi huyu mtu yupo kweli?Beno apewe nafasi jamani