Tetesi:hakuna 'A' za history wala economics.

Tetesi:hakuna 'A' za history wala economics.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Wakuu!!leo nilikua najaribu kuangalia matokeo ya hawa wadogo zetu wa kidato cha 6,nimeona kwenye zile shule maarufu kama marian girls,mzumbe,tabora boys,galanos,umbwe,tosamaganga,ilboru nk hakuna mwanafunzi hata mmoja aliyethubutu kupata ''A''za hayo masomo mawili hapo juu.tatizo ni nin,maswali yalitoka sayari nyingne au ndo ile sera ya ccm ya kupunguza mangwini inatekelezwa kiujanja ili wapate walimu wakutosha?
 
kwa history cjui, ila economics inawezekana kwasababu pepa ilivuja hlf ikabadilishwa kwahyo wakaingia na kukutana na kitu wasichokitegemea, hlf hiyo iliyoletwa ilikuwa imekunjwa vibaya, hapo ni kwa upande wa pepa 2
 
Mwaka huu ni maumivu sana 1•3 ziko 4 tz nzima tunategemea nn jamani
 
Wameanza kuachana na vitini vya Nyambari Nyangwine kwa hiyo vijana kupiga U turn imekuwa ngumu!
 
Economics haina mbabe, sitaki hata kukumbuka....ilinifanya nikose point 4
 
Hapa naweza apply faculty gani? Na vyuo gani na vp? MKOPO? HIST-S GEO -E na KISW- D
 
Wakuu!!leo nilikua najaribu kuangalia matokeo ya hawa wadogo zetu wa kidato cha 6,nimeona kwenye zile shule maarufu kama marian girls,mzumbe,tabora boys,galanos,umbwe,tosamaganga,ilboru nk hakuna mwanafunzi hata mmoja aliyethubutu kupata ''A''za hayo masomo mawili hapo juu.tatizo ni nin,maswali yalitoka sayari nyingne au ndo ile sera ya ccm ya kupunguza mangwini inatekelezwa kiujanja ili wapate walimu wakutosha?

Mkuu History zipo:-
Mojawapo hii hapa toka Mpwapwa Sekondari
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%, align: center"]
S0138/0551​
[/TD]
[TD="width: 4%, align: center"]
M​
[/TD]
[TD="width: 22%"]FARIDI ABDALLA
[/TD]
[TD="width: 6%, align: center"]
4​
[/TD]
[TD="width: 4%, align: center"]
I​
[/TD]
[TD="width: 58%, align: center"]
G/STUDIES-S HISTORY-A KISWAHILI-A ENGLISH-B​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
shule gan hyo mkuu,ckubahatka kuiona?
 
Dah pepa ilikuwa soo, maana dogo alikuwa kilakala pcm tulijua lazima alete point 3 ya kwanza kwenye ukoo but kaishia kupata point 5 kweli necta ni wa....
 
Back
Top Bottom