Tetesi huanza na minong'ono

Tetesi huanza na minong'ono

Tetesi huanza na minong'ono.. Hiyo minong'ono ikikoma huwa tetesi na tetesi zikikoma huwa breaking news..!
Dunia ya sasa iko uchi kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia.. Dunia haina siri tena!
Unafanya jambo gizani.. Tena giza totoro kabisa lakini unakuja kushangaa jambo hilo linakuja kuwekwa upenuni peupe kwa picha safi kabisa

Kuficha taarifa yoyote kubwa inayoihusu Jamii haisaidii chochote.. Tunaweza kafanya hivyo kwa lengo maalum na sababu maalum lakini kwa dunia hii ya sasa.. Taarifa zinaweza kuvuja zenyewe bila hata kuvujishwa na yoyote yule

Kuna madhara makubwa kwenye taarifa kuvuja zenyewe.. Maana ni sawa na bomba la maji lililopasuka na kuvujisha maji barabarani.. Yale maji hayana mwenyewe.. Yeyote anaweza kuyatumia vyovyote
Taarifa zinazovuja zenyewe hurembwa, hutiwa nakshi na kuongezewa vikolombwezo vya kila aina kulingana na mahitaji ya mlengwa!

Hakuna siri ya mtu moja duniani.. Ni fikra finyu kuruhusu minong'ono itawale kuliko kuweka wazi.. Akili ya binadamu ni kitu kisichozuilika.. Ukiibania taarifa unaiongezea udadisi na mshawasha wa kutaka kujua zaidi.. Kujua kulikoni...

Minong'ono ya Msechu kujiandaa kuingia studio ni uzushi usiofaa kupewa kipaza sauti
Kikubwa Msechu ni msanii mkubwa na anafahamika kwa biashara yake ya Samaki migebuka japo huwa anafanyaga kazi maalum kwa S2Kizzy endapo tukio flani muhimu likitokea. Kaka wa ukoo kuna habari gani kwani?
 
Tetesi huanza na minong'ono.. Hiyo minong'ono ikikoma huwa tetesi na tetesi zikikoma huwa breaking news..!
Dunia ya sasa iko uchi kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia.. Dunia haina siri tena!
Unafanya jambo gizani.. Tena giza totoro kabisa lakini unakuja kushangaa jambo hilo linakuja kuwekwa upenuni peupe kwa picha safi kabisa

Kuficha taarifa yoyote kubwa inayoihusu Jamii haisaidii chochote.. Tunaweza kafanya hivyo kwa lengo maalum na sababu maalum lakini kwa dunia hii ya sasa.. Taarifa zinaweza kuvuja zenyewe bila hata kuvujishwa na yoyote yule

Kuna madhara makubwa kwenye taarifa kuvuja zenyewe.. Maana ni sawa na bomba la maji lililopasuka na kuvujisha maji barabarani.. Yale maji hayana mwenyewe.. Yeyote anaweza kuyatumia vyovyote
Taarifa zinazovuja zenyewe hurembwa, hutiwa nakshi na kuongezewa vikolombwezo vya kila aina kulingana na mahitaji ya mlengwa!

Hakuna siri ya mtu moja duniani.. Ni fikra finyu kuruhusu minong'ono itawale kuliko kuweka wazi.. Akili ya binadamu ni kitu kisichozuilika.. Ukiibania taarifa unaiongezea udadisi na mshawasha wa kutaka kujua zaidi.. Kujua kulikoni...

Minong'ono ya Msechu kujiandaa kuingia studio ni uzushi usiofaa kupewa kipaza sauti

Hawajifunzi ya 17 MACHEEEEE 2021?
 
Hapana, wewe ndiye umesema jambo, wewe ndiye una wajibu wa kuweka ushahidi hapa.

Vinginevyo ukisema jambo ambalo huwezi kuweka ushahidi wake wewe ni mzushi tu.
Sina wajibu huo, labda unipachike tu kwa kuwa nawe umdini sanaaaaa,

Halafu eti unajificha kwa kudai hakuna Mungu,
Ushahidi wa mazingira umekuumbua kwa kusemwa ukristo umepanic,

Uzushi mbona hata wewe mzushi, si unakopi huko mineno yako ya hovyo hovyo na kuiweka humu sio uzushi ni nini?
 
Hapana, wewe ndiye umesema jambo, wewe ndiye una wajibu wa kuweka ushahidi hapa.

Vinginevyo ukisema jambo ambalo huwezi kuweka ushahidi wake wewe ni mzushi tu.
Mkuu maisha yako yamekaa kimahakama tu kwenye kila jambo!?..thibitisha,toa ushahidi nk!!..Mara nyingi iso idadi imetajwa hijab ya rais humu, hijab avae mwingine joto asikie kafiri akila nguruww na bia!!
 
Back
Top Bottom