Tetesi huanza na minong'ono

NIMEPITIA COMMENTS NYINGI NIMEGUNDUA BINADAMU HUA INAFIKA POINT ANABADILIKA NA KUWA MBAYA ZAIDI YA KIUMBE CHOCHOTE HATARI UNACHOWEZA KUWA UNAKIFAHAMU HAPA ULIMWENGUNI.

ALL IN ALL MUNGU IKIKUPENDEZA SHUSHA GHARIKA LAKO WATU WOTE+ KIZIMWORK WAKUFAHAMU.
 
Hapa tunazungumzia kifo cha BINADAMU mwenzetu hatuzungumzii dini acha kuchanganya mambo nyie ndo shuleni mlikuwa mnashika mikia na kukariri kwenu
 
Ninachokiona kwa sasa zaidi ya miaka 16 sasa mfumo unaenda kimakavel zaidi. Ni jambo zuri pia
 
Mk uu kuna ile law inasema "to every action there is equal and opposite reaction".kwa sasaiv haya mambo ya watu wakawaida kuwatakia mabaya viongoz ni tabia mbaya saana saana,ila kuyazuia ni vigumu saana.Hii ni kutokana na dhana ya baadhi au wataz walio wengi kuamin kuwa serikali inahusika ktk matukia ya kuumizwa,kupotea au kuuawa kwa baadhi ya watu.Sasa wewe unadhan watu wa karibu au wotz walioguswa na wahanga hao watawawazia nini hao wanaowadhania kuwa ni wahusika !?.
Ushauri wangu hata kama kunasababu zozote za kiusalama,kisiasa au sabab binafsi zisizozuilika zinazo pelekea serikali kuhusishwa ktk baadhi ya matukio ya kuumia kwa baadhi ya watu basi liingaliwe katika weledi wa hali ya juu sana na uliotukuka kwa maslahi mapana ya umoja wa kitaifa kuanzia viongozi hadi raia wa kawaida wa itikadi zote.
 
Ndio ndio kwamba "mki print pesa mtaikosea benki ya Dunia na Sheria sake,msifanye hivyo!wao wakafanya na kukupuuza ndio ikawa au!!?

Najiuliza tu,ukiwa mkweli kuliko serikali unakua matatani!
 
Habari na michango mingi ya watu kwenye huu uzi uwe kipimo cha kujitathmini pale unapopewa dhamana ya kuongoza wengine.

Kwa Afrika viongozi wengi wanageuka kuwa watawala badala ya viongozi inayopelekea ukengeufu.

Kikubwa viongozi watende haki kama wajibu na sio mpaka ujikombekombe au uwe chawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…