Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah sasa mbobezi Mshana Jr unaleta taharuki sana. Hasa unaposema Msechu na studio. Tukajua joka limefanya yake maana mpaka 2025 litameza wengiMimi nimejiandikia tu best baada ya Amphibia kuliwa kichwa na nyuki wakali sasa redio mbao zinasema watamtimua
Uchuro huu!!Parapanda Italia.
MangunguNani katangulia..??
Code ni tata balaa!!Inamhusu nani hiyo??
Bi mkubwa wa Pwani ya Mombasa yupo DAENimeingia X kwa Maria Sarungi, habari ni tetesis ya Bi. Mkubwa kuwa magonjwa na kwamba taarifa inafichwa.
Muda utaongea.
What's going on behind the black curtains?Tetesi huanza na minong'ono.. Hiyo minong'ono ikikoma huwa tetesi na tetesi zikikoma huwa breaking news..!
Dunia ya sasa iko uchi kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia.. Dunia haina siri tena!
Unafanya jambo gizani.. Tena giza totoro kabisa lakini unakuja kushangaa jambo hilo linakuja kuwekwa upenuni peupe kwa picha safi kabisa
Kuficha taarifa yoyote kubwa inayoihusu Jamii haisaidii chochote.. Tunaweza kafanya hivyo kwa lengo maalum na sababu maalum lakini kwa dunia hii ya sasa.. Taarifa zinaweza kuvuja zenyewe bila hata kuvujishwa na yoyote yule
Kuna madhara makubwa kwenye taarifa kuvuja zenyewe.. Maana ni sawa na bomba la maji lililopasuka na kuvujisha maji barabarani.. Yale maji hayana mwenyewe.. Yeyote anaweza kuyatumia vyovyote
Taarifa zinazovuja zenyewe hurembwa, hutiwa nakshi na kuongezewa vikolombwezo vya kila aina kulingana na mahitaji ya mlengwa!
Hakuna siri ya mtu moja duniani.. Ni fikra finyu kuruhusu minong'ono itawale kuliko kuweka wazi.. Akili ya binadamu ni kitu kisichozuilika.. Ukiibania taarifa unaiongezea udadisi na mshawasha wa kutaka kujua zaidi.. Kujua kulikoni...
Minong'ono ya Msechu kujiandaa kuingia studio ni uzushi usiofaa kupewa kipaza sauti
toka pepoMimi nimejiandikia tu best baada ya Amphibia kuliwa kichwa na nyuki wakali sasa redio mbao zinasema watamtimua
Mi ndo hata sielewi nini kinaendeleaMbona Code ipo wazi mkuu
Piere Msechu...???Tetesi huanza na minong'ono.. Hiyo minong'ono ikikoma huwa tetesi na tetesi zikikoma huwa breaking news..!