Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu wanasoka wa Tanzania sijui ni laana au kitu gani,mpira ukiisha ni wachache sana utakuta wana kazi za maana wengi wao wanaishia kwenye ujambazi,ushoga,ulevi mavi au uuzaji wa madawa ya kulevya kama si utumiaji!
Hivi hakuna polisi wa JF? Wapeleke haya madai Interpol.Pasco!
Mod wakishindwa kuitoa, itoe wewe. Hakuna nia ya kumchafua mtu hapa, ninaongelea Makuruzo ambaye alishiriki kubeba mzigo wa vibosile na akakamatwa Malawi akitokea SA.
Huo u-shapu wa wanamichezo hakuna anayeubishia, ni kama uwepo wa rushwa katika jeshi la polisi sio Tz pekee.
Kuhusu laana isiyofutika: Kumtumikisha mtu kwa kazi ya hatari na baadae kumtosa baada ya kukamatwa, kumuacha mkewe kukaa miaka 17 akiwa na nadhiri ya ndoa, kutoshuhudia ndoa za binti zako, kwako hii si laana. Vita ya madawa ya kulevya ni ngumu na haikosi watetezi
AseeMashabiki wa soka la bongo watakuwa wanamkumbuka mchezaji huyu, alicheza na kina Mgunda, Razack Yusuph, kifupi enzi za kina Tenga.
Mwaka 1994 alikamatwa nchini Malawi kosa ikiwa ni kukutwa na madawa ya kulevya, kwa miaka 17 amekaa mahabusu na wiki jana kaachiwa, kadandia lori na kaingia DSM juzii.
Mzigo aliokamatwa nao ulikuwa wa mfanyabiashara maarufu (sasa marehemu) mke wa mfanyabiashara huyu aliwahi kuwa mwanasiasa.
Nimeiweka kama tetesi, mwenye kujua zaidi kuhusu nguli huyu wa soka anaweza kuchangia zaidi :juggle:
HahahaPasco!
Mod wakishindwa kuitoa, itoe wewe. Hakuna nia ya kumchafua mtu hapa, ninaongelea Makuruzo ambaye alishiriki kubeba mzigo wa vibosile na akakamatwa Malawi akitokea SA.
Huo u-shapu wa wanamichezo hakuna anayeubishia, ni kama uwepo wa rushwa katika jeshi la polisi sio Tz pekee.
Kuhusu laana isiyofutika: Kumtumikisha mtu kwa kazi ya hatari na baadae kumtosa baada ya kukamatwa, kumuacha mkewe kukaa miaka 17 akiwa na nadhiri ya ndoa, kutoshuhudia ndoa za binti zako, kwako hii si laana. Vita ya madawa ya kulevya ni ngumu na haikosi watetezi
KitendawiliMashabiki wa soka la bongo watakuwa wanamkumbuka mchezaji huyu, alicheza na kina Mgunda, Razack Yusuph, kifupi enzi za kina Tenga.
Mwaka 1994 alikamatwa nchini Malawi kosa ikiwa ni kukutwa na madawa ya kulevya, kwa miaka 17 amekaa mahabusu na wiki jana kaachiwa, kadandia lori na kaingia DSM juzii.
Mzigo aliokamatwa nao ulikuwa wa mfanyabiashara maarufu (sasa marehemu) mke wa mfanyabiashara huyu aliwahi kuwa mwanasiasa.
Nimeiweka kama tetesi, mwenye kujua zaidi kuhusu nguli huyu wa soka anaweza kuchangia zaidi :juggle:
Mbona Pasco wa JF kauweka sawaHuu uzi umekosa point muhimu za kuuweka sawa.