Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Hii ni kutokana na mvutano uliokuwepo kati ya senate ya chuo na wakuu wa vitivo,itakumbukwa kwamba hao vijana walikua wamedisco toka matokeo ya semister ya pili ya chuo,lakn ikatokea kwamba senate ya chuo ilikua inataka hao vijana wapewe upendeleo ili waweze kuendelea na masomo lakin wakuu wa vitivo husika hasa vya uhandisi,sheria na biashara waliweka ngumu kwamba udsm is an institution of equal opportunity so kila mwanafunz pasipo kujali utaifa,rangi,dini,kabila au ubini wake wanapata equal treatment,walisema kwamba haiwezekani vijana wa kitanzania wanapokua wamedisco wanaondolewa chuon,afu wenzao from abroad ndo wapendelewe.
Source😱fisi ya taaluma.
Source😱fisi ya taaluma.