Tetesi:idadi kubwa ya wanafunzi kutoka rwanda,uganda,kenya na mozambique wanaosoma udsm wamedisco.

Tetesi:idadi kubwa ya wanafunzi kutoka rwanda,uganda,kenya na mozambique wanaosoma udsm wamedisco.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Hii ni kutokana na mvutano uliokuwepo kati ya senate ya chuo na wakuu wa vitivo,itakumbukwa kwamba hao vijana walikua wamedisco toka matokeo ya semister ya pili ya chuo,lakn ikatokea kwamba senate ya chuo ilikua inataka hao vijana wapewe upendeleo ili waweze kuendelea na masomo lakin wakuu wa vitivo husika hasa vya uhandisi,sheria na biashara waliweka ngumu kwamba udsm is an institution of equal opportunity so kila mwanafunz pasipo kujali utaifa,rangi,dini,kabila au ubini wake wanapata equal treatment,walisema kwamba haiwezekani vijana wa kitanzania wanapokua wamedisco wanaondolewa chuon,afu wenzao from abroad ndo wapendelewe.
Source😱fisi ya taaluma.
 
katika matokeo ya Mtihani hakuna upendeleo siku zote, ukiwepo ni batili......
ni vyema Elimu ya juu kuwa Strictly namna hiyo tofauti na wale waliochakachua matokeo ya form 4 - mwaka 2012.

kila mtu atavuna anachopanda.
 
roho za kwanini zinawahusu hapo chuo nyie ma lecturer
 
Udsm kuweni makini msishushe kiwango cha taaluma,hadhi na heshima ya chuo.equal treatment remains the best.
 
wanafunzi wa kigeni hawawezi msuli wa UD ndio maana katika school of ... 97%wamesupp na wengine kudisco
 
Back
Top Bottom