OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mkude na Kotei hawatoshi mkuu?Kwa beki nakubaliana na wewe, Wawa na Juko watafute timu zingineAtatufaa sana JACK... wasisahau na defence pia middle mkabaji.
Juuko aende ila wawa simba wajifikirie mara 2 mbili, ukimtoa nyoni wawa ni beki bora zaidi ssc.. Ni mpambanaji, kiongozi, muhamasishaji, muanzilishi mzuri wa mashambulizi.Mkude na Kotei hawatoshi mkuu?Kwa beki nakubaliana na wewe, Wawa na Juko watafute timu zingine
Hata kagere,Boko na Okwi mlisema ni wazee lkn angalia shughuli yao kwa mpira wa bongo ukisema u deal na umri ni kudanganyana wachezaji wengi wana umri mdogo kwenye makaratasi ila sio kweli na hii ni karibu nchi nyingi za Ki Africa swala la umri hawazingatii tofauti na wenzetumnabeba vizee kila siku mwisho itakuwa timu ya maveterani
kamwene gongo waziTatizo la timu za bongo zikianza kuishambulia timu moja kuchukua wachezaji wake ni hapo hapo. Wakati yanga ilipokuwa kwenye peak akili zao zilikuwa zimbabwe hasa platnum tuu , huu ugojwa simba wameambukizwa. Kama ana hela pale AS VITa kuna mitambo ambayo sii ya dunia hii ina speed na vipawa
Nyie endeleeni kutembeza bakuli mkija kushtuka mmekwama kwenye tope tayarimnabeba vizee kila siku mwisho itakuwa timu ya maveterani
Simba hii ni azam tupu,haya kuna manula,nyoni,kapombe,bocco,mmh!!Tatizo la timu za bongo zikianza kuishambulia timu moja kuchukua wachezaji wake ni hapo hapo. Wakati yanga ilipokuwa kwenye peak akili zao zilikuwa zimbabwe hasa platnum tuu , huu ugojwa simba wameambukizwa. Kama ana hela pale AS VITa kuna mitambo ambayo sii ya dunia hii ina speed na vipawa
Kiufupi ndio kinara aliyeipeleka Gor Mahia robo fainali kama ilivyo kwa Kagere hapo Simba,CAFCC yeye ni miongoni mwa wafungaji bora na ameingia kwenye CAFCC Best XI kama forward.Rekodi zake zipo vip huko kenys? Isijekuwa msimu mzima hajafikisha hta goli kumi halafu mnampapatia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh huyu jamaa ni hatari