OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ule mtambo wa mabao wa Gor Mahia pacha wa Meddie Kagere inasemekana ametua Bongo kumalizana na bosi wa Wana-robo fainali-CAF Championship Simba SC.
Tuyisenge ambaye anawaniwa pia na AS Vita ameonyesha nia ya kukipiga Msimbazi kilichobaki na kuweka sawa maslahi ya pange zote mbili.
Naitakia kila la kheri chama langu. Hakika Tuyisenge na Kambole kutoka ZESCO wakinaswa kule mbele kazi itakuwa imeisha