greybakuza
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 897
- 1,276
Nakuuga mkono 100%. Wawa si wa kumpoteza kizembe.Juuko aende ila wawa simba wajifikirie mara 2 mbili, ukimtoa nyoni wawa ni beki bora zaidi ssc.. Ni mpambanaji, kiongozi, muhamasishaji, muanzilishi mzuri wa mashambulizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga unawezaje kushauri usajili wa Simba wakati hata posho za wachezaji hunamnabeba vizee kila siku mwisho itakuwa timu ya maveterani
Watamlipa nini,huyu kima cha chini mshahara ni 20m. Nasikia walimtaka Makusu akawataka mshahara 80m na usajili 1b. Haaaaa haaaaaa
Hiyo timu ndio imeenda mbali mwaka huu. Na wanapiga hatua sababu uwekezaj ni mkubwamnabeba vizee kila siku mwisho itakuwa timu ya maveterani
Unataka tusajili vijana wabichiiiii kama Ngassa na Boban??mnabeba vizee kila siku mwisho itakuwa timu ya maveterani
Simba hawana hela ya kununua vita mchezaji,Makusu Mundele kasajiliwa toka Vita na mshahara ni million 80+ per month na signing fee ni one billionTatizo la timu za bongo zikianza kuishambulia timu moja kuchukua wachezaji wake ni hapo hapo. Wakati yanga ilipokuwa kwenye peak akili zao zilikuwa zimbabwe hasa platnum tuu , huu ugojwa simba wameambukizwa. Kama ana hela pale AS VITa kuna mitambo ambayo sii ya dunia hii ina speed na vipawa
Gadieli Michael ataweza mzuia kweli huyu cc ShadeeyaView attachment 1054739
Ule mtambo wa mabao wa Gor Mahia pacha wa Meddie Kagere inasemekana ametua Bongo kumalizana na bosi wa Wana-robo fainali-CAF Championship Simba SC.
Tuyisenge ambaye anawaniwa pia na AS Vita ameonyesha nia ya kukipiga Msimbazi kilichobaki na kuweka sawa maslahi ya pange zote mbili.
Naitakia kila la kheri chama langu. Hakika Tuyisenge na Kambole kutoka ZESCO wakinaswa kule mbele kazi itakuwa imeisha
Upo sahihi sijui kwann hii tabia IPO,Tatizo la timu za bongo zikianza kuishambulia timu moja kuchukua wachezaji wake ni hapo hapo. Wakati yanga ilipokuwa kwenye peak akili zao zilikuwa zimbabwe hasa platnum tuu , huu ugojwa simba wameambukizwa. Kama ana hela pale AS VITa kuna mitambo ambayo sii ya dunia hii ina speed na vipawa
HIV afrika kuna madirisha mangap ya usajiri ,mbona vurugu tu naonaKiufupi ndio kinara aliyeipeleka Gor Mahia robo fainali kama ilivyo kwa Kagere hapo Simba,CAFCC yeye ni miongoni mwa wafungaji bora na ameingia kwenye CAFCC Best XI kama forward.
Mzee akilimali atawasaidia kulipa labda.Watamlipa nini,huyu kima cha chini mshahara ni 20m. Nasikia walimtaka Makusu akawataka mshahara 80m na usajili 1b. Haaaaa haaaaaa
Huyu wawa watu hawajajua umuhimu wake ila jamaa muhimu sana. Mashambulizi ya simba yakitokea nyuma basi yanaanzia kwa wawa. Anapiga mipira mirefu na pasi zake zinafikaJuuko aende ila wawa simba wajifikirie mara 2 mbili, ukimtoa nyoni wawa ni beki bora zaidi ssc.. Ni mpambanaji, kiongozi, muhamasishaji, muanzilishi mzuri wa mashambulizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga wanagombania mchezaji na singida utd. Fei toto yule waligombania na singidaYanga unawezaje kushauri usajili wa Simba wakati hata posho za wachezaji huna
Na ninja ataweza shadeeyaGadieli Michael ataweza mzuia kweli huyu cc Shadeeya
Ataweza ndio.