Tetesi: Jack Tuyisenge atua nchini kumalizana na Mo Dewji

Tetesi: Jack Tuyisenge atua nchini kumalizana na Mo Dewji

Tatizo la timu za bongo zikianza kuishambulia timu moja kuchukua wachezaji wake ni hapo hapo. Wakati yanga ilipokuwa kwenye peak akili zao zilikuwa zimbabwe hasa platnum tuu , huu ugojwa simba wameambukizwa. Kama ana hela pale AS VITa kuna mitambo ambayo sii ya dunia hii ina speed na vipawa
Simba hawana hela ya kununua vita mchezaji,Makusu Mundele kasajiliwa toka Vita na mshahara ni million 80+ per month na signing fee ni one billion
 
View attachment 1054739
Ule mtambo wa mabao wa Gor Mahia pacha wa Meddie Kagere inasemekana ametua Bongo kumalizana na bosi wa Wana-robo fainali-CAF Championship Simba SC.

Tuyisenge ambaye anawaniwa pia na AS Vita ameonyesha nia ya kukipiga Msimbazi kilichobaki na kuweka sawa maslahi ya pange zote mbili.

Naitakia kila la kheri chama langu. Hakika Tuyisenge na Kambole kutoka ZESCO wakinaswa kule mbele kazi itakuwa imeisha
Gadieli Michael ataweza mzuia kweli huyu cc Shadeeya
 
Tatizo la timu za bongo zikianza kuishambulia timu moja kuchukua wachezaji wake ni hapo hapo. Wakati yanga ilipokuwa kwenye peak akili zao zilikuwa zimbabwe hasa platnum tuu , huu ugojwa simba wameambukizwa. Kama ana hela pale AS VITa kuna mitambo ambayo sii ya dunia hii ina speed na vipawa
Upo sahihi sijui kwann hii tabia IPO,

Halafu simba angeimalisha beki kwanza,

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Kiufupi ndio kinara aliyeipeleka Gor Mahia robo fainali kama ilivyo kwa Kagere hapo Simba,CAFCC yeye ni miongoni mwa wafungaji bora na ameingia kwenye CAFCC Best XI kama forward.
HIV afrika kuna madirisha mangap ya usajiri ,mbona vurugu tu naona

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Yule ni kijana hatuwezi kumnunua na hatuwezi kumpata pia,tusubiri azeeke kwanza
 
Juuko aende ila wawa simba wajifikirie mara 2 mbili, ukimtoa nyoni wawa ni beki bora zaidi ssc.. Ni mpambanaji, kiongozi, muhamasishaji, muanzilishi mzuri wa mashambulizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu wawa watu hawajajua umuhimu wake ila jamaa muhimu sana. Mashambulizi ya simba yakitokea nyuma basi yanaanzia kwa wawa. Anapiga mipira mirefu na pasi zake zinafika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom