Alisema Muheshimiwa ila naiona ni ngumu sana Mtani.Asante, nakukumbusha mtani, kwenye mechi ya simba vs Tp mazembe, lazima uwe mzalendo tu , maana hakuna namna... Shadeeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe nilikuwa nazunguka? ShadeeyaHahahaaaa. LABDA.
Ila nimecheka sana Mtani.[emoji3][emoji3]
πππ Mi simo Mtani. πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Ahahahaaaaa, utani mwingine changamoto aiseee... Shadeeya[emoji3][emoji3][emoji3] Mi simo Mtani. [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Yes very trueAtatufaa sana JACK... wasisahau na defence pia middle mkabaji.
Ubora wa Ajibu kuwapita hao ni upi?Acha porojo Zimbwe amecheza taifa huyo dogo yuko Azam.. alikuwa Zimbwe na Hajji Mwinyi.
Kusema ni bora, hata Ajibu ni bora kuliko CHILUNDA, FARID MUSA, ULIMWENGU.
Upo bongo au Qatar?.. tuanzie hapoUbora wa Ajibu kuwapita hao ni upi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Kweli Simba wajitahidi wamusajiri haraka na Kambole, kabla hawajawahiwa na timu nyuingine.