Tetesi: Jack Tuyisenge atua nchini kumalizana na Mo Dewji

Ni matumizi mabaya ya pesa za kigeni.kuacha wachezaji wa ndani na kukimbilia wachezaji wa kigeni

Sent using Jamii Forums mobile app
Tetea hoja yako,kumbuka hii ni Simba inayoshindana na TP Mazembe,Ah Ahl, As Vita nk. Kinachozingatiwa ni kiwango na biashara. Mpaka sasa inayo wazawa ndio hao kina Ndemla, Mo, Salamba nk wanarukaruka tu uwanjani. Wazawa wanaopiga kazi watapata chance tu,ndio hao kina Manula, Bocco, Mkude,Nyoni,Kapombe nk
 
Mwambie akutajie timu isiyo na wageni anayoijua na ina mafanikio kuzidi yenye wageni.
 
Maisha bana.Tuyisenge anakuja Simba..yule left back bora E.A anaenda S.A ...Zimbwe Jr anamtumia MO Na Manara aongezwe kwenye kikosi cha AFCON wakati Banda ataenda kama mbadala wa Mbaga
 
Huyo left back anaenda kusaini mkataba? Haaaaa haaaaa.
 
Tatizo la timu za bongo zikianza kuishambulia timu moja kuchukua wachezaji wake ni hapo hapo. Wakati yanga ilipokuwa kwenye peak akili zao zilikuwa zimbabwe hasa platnum tuu , huu ugojwa simba wameambukizwa. Kama ana hela pale AS VITa kuna mitambo ambayo sii ya dunia hii ina speed na vipawa
AS Vita nao wana hela zao, hawana haja ya kuuza wachezaji wao bongo. Kumbuka, walifika fainali ya Shirikisho mwaka jana tu, so bado wana chenji walizovuta CAF
 
Maisha bana.Tuyisenge anakuja Simba..yule left back bora E.A anaenda S.A ...Zimbwe Jr anamtumia MO Na Manara aongezwe kwenye kikosi cha AFCON wakati Banda ataenda kama mbadala wa Mbaga
Acha porojo Zimbwe amecheza taifa huyo dogo yuko Azam.. alikuwa Zimbwe na Hajji Mwinyi.
Kusema ni bora, hata Ajibu ni bora kuliko CHILUNDA, FARID MUSA, ULIMWENGU.
 
Back
Top Bottom