OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #101
Tetea hoja yako,kumbuka hii ni Simba inayoshindana na TP Mazembe,Ah Ahl, As Vita nk. Kinachozingatiwa ni kiwango na biashara. Mpaka sasa inayo wazawa ndio hao kina Ndemla, Mo, Salamba nk wanarukaruka tu uwanjani. Wazawa wanaopiga kazi watapata chance tu,ndio hao kina Manula, Bocco, Mkude,Nyoni,Kapombe nkNi matumizi mabaya ya pesa za kigeni.kuacha wachezaji wa ndani na kukimbilia wachezaji wa kigeni
Sent using Jamii Forums mobile app