Tetesi: Jimbo la Kawe Wazi!. Ubunge wa Gwajiboy Kwenye Hati Hati!. Umehang Kwenye Utando wa Buibui!. Ama Achanje Asalimike, Akikomaa, Amwagwa!.

Kabla ya kufanya maamuzi, mkumbuke vijana wengi wa Kawe wameshachukuwa passport wanasubiri safari ya Marekani, na kundi lingine kubwa wanasubili boti za uvuvi ili wajiunge kwenye ujasiriliamali wa uvuvi.

Kama hamjatowa mtekeleze hizi ahadi kwanza za bwana Rashid.
 
kwa upepo unavyokwenda sioni gwajima akisalimu.

katika kipindi hiki cha karibuni amekuwa kama mtu mwenye kusubiri aguswe aseme kitu.
anyway mwili wake sio mali ya ccm.
 
Tanzania ya ajabu et mchungaji anashiriki dhambi ya wizi wa kura halafu bafo watu wanarnda kusali kwake.
 
Tanzania ya ajabu et mchungaji anashiriki dhambi ya wizi wa kura halafu bado watu wanarnda kusali kwake.
 
Tanzania ya ajabu et mchungaji anashiriki dhambi ya wizi wa kura halafu bado watu wanarnda kusali kwake.
 
mwandishi nguli kama wewe sio wa kutuletea habari ambazo vyanzo vyake sio reliable!
mkongwe katika tasnia umeshindwa kufanya uchunguzi na kutuletea habari kamili?
Hii ni anguko kwako, wewe sio wa kutuletea tetesi humu jf
Weka akiba ya maneno, si mjinga huyo, hizo ni za ndani huwa zinaandikwa kwa style hiyo.
 
Subiri 2025 Mzee ujaribu tena bahati yako😀
 

Pascal ! Naunga mkono Gwajiboy kutimuliwa ubunge wa kawe kwani he has and is doing absolutely nothing for the constituency !! Misimamo yake inatugharimu sisi wana kawe, hafanyi lolote zaidi ya kiburi dhidi ya mamlaka na kuendeleza misimamo ya Hayati Magufuli ! If it were me on the helm this guy should have been kicked out unceremoniously !

But anyways the biggest problem is your bogus party CCM and really wonder why and how wewe mwandishi wa habari mkongwe bado unajinasibu na lichama chafu kama hilo ! Majizi makubwa ! Malaghai ! Matapeli ! Mafisadi ! Pascal dont you feel ashamed of yourself to identify and associate with such a party ?

May be na wewe ni mnufaika wa maovu hayo makubwa ya liCCM ? I really cant understand why a descent individual would still stick to this horrible and dirty organisation ! Anyway ndio demokrasia yenyewe japokua kwenye maelezo yako mwenyewe unaonesha wazi mchakato wa kumpata mgombea wa kawe haukua safi !

Kawe alioicha Halima Mdee imebaki vilevile even kudorora zaidi kwa huyu muhuni Gwajiboy ! Jimbo kubwa kama hili nothing is happening kuleta maendeleo kweli !! Mnatia hasira sana but one definite day mtakuja kujibu nyie madhalimu !
 
Misukule haiwezi kupata corona, waumini wa gwajima wote ni misukule. Kazi yao ni kushangilia maujinga yote yanayozungumzwa na mkona wa baunsa
Wewe ulishawahi kupata korona? kama bado unaingia kwenye kundi la misukule na kama tayari na hukufa jua hiyo korona si kitu ila mnapigwa chanjo ili watu watimize malengo yao na baada ya muda mtakuwa sawa kabisa na kuku wa nyama bila chanjo hakuna maisha.
 
Imeandikwa “Kila silah yeyote itakayotumika haitaweza kufanikiwa “
“Ninayaweza mambo yote kwa yeye anitiaye Nguvu”
“Sitaweka Magonjwa kama nilivyoweka kwa wamisri Mimi ndimi Bwana nikuponyae”
 
Halima akivaa kijani huko Kawe itabidi kura za maboksi zitumike kumpitisha.

Gwajima siasa ndio basi tena. Waliomweka CCM na Kawe (jiwe na bashite) hawapo kwenye ramani tena. Bora aendelee na kipaji chake cha kugawa ufufuo na uzima tu.
Katika ile list ya kina Dr Mashinji, Paskali,mwijaku, Kayuni, Yusufu mwenda hakuna anaeuweza moto wa sauti ya zege Halima James Mdee. Hakuna hata wa kusimama nae kwenye podium na kufanya mdahalo. Halima ni mashine na kawe walimkubali japo alikuwa na mapungufu ya ubishoo lakini CCM ya mama inahitaji team ya Ushindi na Halima ndio mpiga ngoma mwenyewe sasa.
 
Chanjo hazifai! JPM alitangaza mbona hakuitwa kuhojiwa hata na chama?
Hangaya Kikwete anamudanganya Sana,CCM ilikuwa imufie mikononi Sasa wewe ukiamua kwa kudemuka uanze fukuzafukuza itakufia wewe.
Kumbuka wewe huna mizizi yoyote kwenye chama.

Hujiulizi tu wajumbe waliimba mbele yake tunaimani na Lowassa?

Halafu wewe ndo unamuona Kama ndo tumaini lako namuna ya kuiongoza nchi🤣🤣🤣🤣.
 
Swali kwa gwaji boy ni kwamba tunachaaanja au hatuchaaanji?[emoji23][emoji23]
Njanjaaaanjanjiiiiii [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…