Tetesi: Tetesi: kufutwa kwa matokeo ya darasa la saba 2018

Tetesi: Tetesi: kufutwa kwa matokeo ya darasa la saba 2018

Matokea yamefutwa kwenye baadhi ya shule za DSM MWANZA NA DODOMA, wameambiwa kuwa tar 8 na 9 october ndo watarudia ko watoto wayarudie madaftari yao kama walikuwa wameyatupa.
 
kwa wilaya ya chemba shure zote zinarudia naunga mkono hoja pamoja na adhabu zote zilizotolewa hakuna namna ukiona mwezio ananyolewa zako tia maji.. ansate
toeni pesa kwa walimu msije mkaenda nazo bench pesa za watu angalizo langu ..
 
Back
Top Bottom