The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,357
- 3,835
Ushauri kwa mleta mada, ni vizuri uchague mada za kujenga kuliko kuwapotezea watu muda kusoma upuuzi ,
hii inaonesha ni jinsi gani ubongo wako ulivyoathirika na mapepo ya ngono, sasa humu ni eneo la mijadala ya watu wenye heshima zao na wenye akili timamu jirekebishe mapema
umeniwahi nilitaka kumshauri na kumuonya kwa kuleta nyuzi zisizoshoneka!!!