Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maamuzi ya mtu yaheshimiwe yeye kaona hawezi fanya kazi na mtu asie mtaka na wao wameona hawawezi kumpa anacho taka mwisho wa siku kila mtu kabaki na msimamo wakeTatizo kocha Nabi alitaka aende na benchi nzima la ufundi
Pia alitaka yule kocha mzawa zwane hatoke wenzake wakamkatalia na kumtafuta kocha mwingine ,Aende tu uko singida ujeuri wake umemponza .
Punguza kula njugu maweNabi angeifikisha Yanga fainali ya klabu bingwa naamini angegombaniwa na timu nyingi kubwa ndani na nje ya bara hili la Afrika.
Lakini kwakuwa aliwafikisha uto fainali ya kombe la losers ambalo halijulikani popote siioni nafasi yake kufundisha vilabu vikubwa tofauti na Singida
Nazungumzia shirikisho bwasheehaumuoni mnyama akicheza na wydad casablanca.au unadhani wydad ni wamatumbi.?
Hayo maoni yako SasaTatizo kocha Nabi alitaka aende na benchi nzima la ufundi
Pia alitaka yule kocha mzawa zwane hatoke wenzake wakamkatalia na kumtafuta kocha mwingine ,Aende tu uko singida ujeuri wake umemponza .
yule ni kocha wa levo za akina pep sio km makocha wenu wa kuokota akina robatinyo,kocha lazma uwe ni misimamo haijalishi unaenda timu gani hata km unaenda barca ila misimamo lazma izingatiwe,robetinyo hamtaki chama mnamwambia aingie kwenye mfumo wa chama naye anakubali asa huyo kocha utopolo?
ukisikia kuburi si maungwana ndio hiki sasa.Kama tetesi hizi zitakua ni za kweli Basi tutegemee kuona ushindani wa hali wa juu katika mpira wetu.View attachment 2673475
Hakuna kitu kama hicho,hawawezi kumlipaKama tetesi hizi zitakua ni za kweli Basi tutegemee kuona ushindani wa hali wa juu katika mpira wetu.View attachment 2673475
Ataanguka vibaya Sana huyo babu anaikacha yanga unadhini atabaki salamaKama tetesi hizi zitakua ni za kweli Basi tutegemee kuona ushindani wa hali wa juu katika mpira wetu.View attachment 2673475