Hii ni nchi ya aina yake, ina watu wa aina yake.
Tanzania upumbavu ni kipaji mpumbavu ni mtu aliyebobea kwenye jambo fulani lakini ana mapuuza hatekelezi majukumu yake kwa weledi anajizima data
Bodi ya Ligi ya Tanzania wanatumia busara kutatua migogoro badala ya kutumia kanuni zilizopo huu Ndiyo upumbavu wenyewe Tena uliopitiliza inamaana mwenye pesa ama mwenye wadhifa anakuwa ndiye mwenye busara, kikikiki
.
Tanzania tunafurahia kuongozwa na wapumbavu
Tumekubali mpira wetu usimamiwe na watu ambao hawana weledi ambao hawawezi kutatua changamoto ama kuvitambua viashiria vya majanga ama changamoto
Yasiyotarajiwa, (uncertainty) husababishwa na
1. Taarifa, ukishindwa kuchakata taarifa kwa Wakati na kwa kukosa weledi itasabisha changamoto
2. Majanga ya kibinadamu na ki Mungu. Kwenye majanga huchomoki
3. Binadamu
Kuhusu binadamu, changamoto nyingi tunazo kabiliana nazo husababishwa na binadamu,
Binadamu anaweza jisabibishia changamoto kwa ujinga, ulafi, ushamba wivu upumbavu ulevi uoga pia anaweza kumsabishia mtu mwingine changamoto kwa makusudi ama kwa bahati mbaya
Hitimisho bodi ya Ligi ya Tanzania haina weledi huwa hawaendi eneo la tukio, (uwanjani), wanategemea meneja wa uwanja na kamishina wa mchezo pia hawatumii mfumo wa kidigitali
Walivyo wajinga wana subiri kamati ya masaa 72 ambayo ina taarifa ambazo wanazo,(taarifa ya mchezo ambao haukuchezwa),
Expecting results from what you know
Kutegemea matokeo ambayo unayo