Tetesi: Tetesi mechi Yanga Vs Simba imepangwa kufanyika baada mapumziko ya michezo ya kimataifa na mgeni rasmu ataku Rais Samia Suluhu Rais

Tetesi: Tetesi mechi Yanga Vs Simba imepangwa kufanyika baada mapumziko ya michezo ya kimataifa na mgeni rasmu ataku Rais Samia Suluhu Rais

Kwani Yanga asipoleta timu mgeni rasmi ataamuaje..kwanza mgeni rasmi atajua mapema kabisa kama mechi ipo au haipo. Mana tamko la kutoshiriki mchezo husika watatoa mapema.
 
Yanga mkiamua kubadili msimamo, wekeni masharti haya mawili
1. Wahuni wote wa bodi wajiuzulu kwanza.

2. Hiyo mechi inayooangwa baada mapumziko ya mechi za kimataifa, zipatikane angalau siku 7 kabla ya mechi. Siku 2 za kuwapa nafasi wachezaji wanaowakilisha nchi zao kurudi Tanzania na siku 5 za maandalizi ili kuzoeana wachezaji ambayo hawakusafiri.

Kwa miaka ya hivi karibuni bodi ya ligi imekua na tabia ya kupanga derby wakijua wachezaji wenu wengi wanaitwa kwenye mataifa Yao na hawatakua na muda wa mazoezi ya pamoja na wenzao ili kuwapa advantage Madunduka, wasio na wachezaji wengi wanaitwa kwenye mataifa Yao.
Refer derby iliyopita iliyosababisha Diara acheze mechi masaa machache baada ya kuwasili nchini na refer tena mechi za msimu uliopita.
 
Back
Top Bottom