MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
Jifunze kuandika.Hueleweki unataka kuandika nini.msiwazindue wanasimba waacheni
wache kulia palapanda
hisa zoote za wanachama alishazinunua MO
Hakuna timu inayoweza kuifunga Yanga Taifa..labda mikoani kwenye mashamba ya mpunga...Yanga mna shida kweli msubiri trh 16 tu hatuwaachii na azamu naye anawasubiri sijui kocha wenu kwa misiba ataliaje .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hati ya simbawaliahaombea mkopo zamani sana!! Hahaahhajaah
Kumekucha hukoooooooHaya haya Mikia jiandaeni kuishi kama Mashetani,kipigo anachopata MO kutoka kwa Jiwe itakuwa directly proportional to Mikia kama ilivyokuwa kwa Manji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Manara anaandaa press kesho aachie ngaziKumekucha hukooooooo