Tetesi: Mgogoro wa Kutisha Simba unanukia, Mo kuikacha timu?

Tetesi: Mgogoro wa Kutisha Simba unanukia, Mo kuikacha timu?

Simba na Yanga hati za hayo majengo ni ugomvi ,nakumbuka Manji nae aliomba hati za jengo la Yanga mitaa wa mafia hakupata

Na anazo Mzee mmoja hivi kazihifadhi na anazilipia kodi ya majengo kila mwaka

MTC | 101| 28 [emoji769]
 
Migambo inarùka na kukanyagana

Waaandae bakuli kabisaaa lakutembeza
 
Tajiri kashtuka anapigwa waziwazi
Tajiri akili zimemrudia naona Aş vita na Al Ahly wamesaidia kuzībua akili ya Mo kurudi
 
Hati ya simbawaliahaombea mkopo zamani sana!! Hahaahhajaah
 
Mmekalia uzushi. Mmemtishia maisha kocha Zahera imebidi afanye kazi yake kwa hofu.Michango kila kukicha. Hamuoni matatizo yenu. Mechi 3 pointi 2 lazima presha ipande na muanze uzushi wa mgogoro wa kusadikika.
Huu ni mwanzo tu tarehe 16 mtapigana bakora.
Ajibu na Yondani wameanza kutupiwa lawama ya kufanya hujuma.Mtashikana mashati na bakora zitatembea. Yebo Yebo mwenye asili haachi.
 
msiwazindue wanasimba waacheni
wache kulia palapanda
hisa zoote za wanachama alishazinunua MO
 
najua hamjui nami nawajuza tu.....dingi kagoma kutoa hela kusajili had sasa hiv ngoma bila bila
 
waweza kuta uyu mtoa mada ni manara hanasikilizia upepo wa mashabiki wa mikia ,
hapate la kusema
kesho. s
stay turn
 
Back
Top Bottom