Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Mpaka jana jioni,hakukua na muafaka kati ya uongozi wa chuo na wawakilish wa DARUSO kuhusu suala la kusign mkopo...
Uongozi umeendelea kusisitiza kwamba,lazima kila mtu awe na valid ID na wakati wao ndio waliofanya makosa au walikusudia kutengeneza ID ambazo expire date yake inatukuta wanafunzi tukiwa bado tuko likizo,kwa hyo imeonekana idadi kubwa ya wanafunzi watashndwa hilo shart la kulipia portion ya ada zao zilizobaki coz most of us tunategemea bumu kulipia michango ya chuo..
So hadi jana jion,wanaharakati mbalimbali walikua wameanza kujikusanya ili kuangalia namna ya kumobilize watu ili waweze kupinga hiyo sheria mpya ya kusign boom..pia uongozi umetishia kuwafukuza baadhi ya wawakilish wa daruso endapo wataendelea kulifuatilia hili suala,hili nalo limezidi kuchochea hasira za wanaharakati..
Niko eneo la tukio,nitaendelea kuwajuza kinachoendelea.