Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,812
- 1,373
hv kuna tofauti kiakili kati ya mpiga msuli na perry??Mpiga msuli njoo utetee chuo chako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hv kuna tofauti kiakili kati ya mpiga msuli na perry??Mpiga msuli njoo utetee chuo chako
hv kuna tofauti kiakili kati ya mpiga msuli na perry??
Nyie endeleeni kuleta mbwembwe hapo za hiyo migomo na mobilization zisizo na maana,kuna mwana nakumbuka nilipokua nasoma hapo UDSM,alikua mtata sana na organiser wa migomo,alikua anajiita ALSHABABI ilikua mwaka 2012 aliusumbua sana uongozi wa chuo maana wenzie wote walikua wamesimamishwa chuo yeye ndio akawa amebakia na akawa anaongoza iyo migomo,unaambiwa usalama wa taifa walikua wanamsaka sana,ila mara ya mwisho nakumbuka alikuja kuchukuliwa saa nane za usiku pale mabibo hosteli na watu wasiojulikana hadi leo sijui aliishia wapi............so kuweni makini.

Ni mmoja wa muanga wa mgomo wa 2010/11/2012 na kwasasa nipo kwenye moja ya vyuo vikuu napiga shule....niliwahi kuchukuliwa na usalama kwa maoijiano na kwa ajili ya kufanya mgomo usitokee ila badae walituachia tukiwa watu kumi kwani tulikuwa tukiandaa mgomo pale mabibo block G na kwakweli tulifanikiwa sana kwani bumu liliweza kupanda na vijana waliokosa mkopo waliweza kupata...uoga haujawahi kushinda na tatizo kubwa la vyuo vyetu watu wanajidai wasome wamalize waondoke...toeni uoga vijana wa udsm na vyuo vingine piganieni haki yenu´....sitawasahau vijana wafuatao waliowezesha harakati zile Richard marwa,makwaiya,ndunguru florian,ndunguru francis,emekha lusako,alshabib,alshabab n.k. Na wengine waliojitolea tuzo yetu ni kubwa.....na kwa ufupi alshabab yupo hai na anaendelea vizuri na hao wengine wote wapo hai wanapiga shule...
Nyie endeleeni kuleta mbwembwe hapo za hiyo migomo na mobilization zisizo na maana,kuna mwana nakumbuka nilipokua nasoma hapo UDSM,alikua mtata sana na organiser wa migomo,alikua anajiita ALSHABABI ilikua mwaka 2012 aliusumbua sana uongozi wa chuo maana wenzie wote walikua wamesimamishwa chuo yeye ndio akawa amebakia na akawa anaongoza iyo migomo,unaambiwa usalama wa taifa walikua wanamsaka sana,ila mara ya mwisho nakumbuka alikuja kuchukuliwa saa nane za usiku pale mabibo hosteli na watu wasiojulikana hadi leo sijui aliishia wapi............so kuweni makini.
Mkigoma mnamgomea nani?kuna mtu anajali kuathirika kwenu kielimu?Kuna watu walisoma hadi leo ni madaktari na maprof. lakini hao ndio wanafanya mambo ya kikanjanja hadi nyie leo mnacheleweshewa "boom"kama mnavyoita wenyewe!Nawashauri mtafute njia nzuri ya kudai haki zenu kwani ni wazi Tanzania watu wengi wakisoma wanakuwa Sadists!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mpaka jana jioni,hakukua na muafaka kati ya uongozi wa chuo na wawakilish wa DARUSO kuhusu suala la kusign mkopo...uongozi umeendelea kusisitiza kwamba,lazima kila mtu awe na valid ID na wakati wao ndio waliofanya makosa au walikusudia kutengeneza ID ambazo expire date yake inatukuta wanafunzi tukiwa bado tuko likizo,kwa hyo imeonekana idadi kubwa ya wanafunzi watashndwa hilo shart la kulipia portion ya ada zao zilizobaki coz most of us tunategemea bumu kulipia michango ya chuo..so hadi jana jion,wanaharakati mbalimbali walikua wameanza kujikusanya ili kuangalia namna ya kumobilize watu ili waweze kupinga hiyo sheria mpya ya kusign boom..pia uongozi umetishia kuwafukuza baadhi ya wawakilish wa daruso endapo wataendelea kulifuatilia hili suala,hili nalo limezidi kuchochea hasira za wanaharakati..
Niko eneo la tukio,nitaendelea kuwajuza kinachoendelea.
Vipi Steven Owawa ndo anaongoza mgomo?