Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Samata nae mbona alimsumbua VvdKabisa huyu jamaa kamsumbua vvd sana
Samata nae vipi liva hawajamuona ?
Hiyo hati hati iko kichwan kwako tu. Kwenye uhalisia hamna chochotePale mbele umri umeanza kuleta shida na Mane kuna hati hati ya kwenda Barcelona
Karibu Anfried MINAMINO View attachment 1289837
Wewe utakuwa muraaa!!Hilo neno hua linanisumbua sana