TETESI: Mkuu wa BLACKWATER, Erik D. Prince ajikuta mikononi mwa makomando wa M23

TETESI: Mkuu wa BLACKWATER, Erik D. Prince ajikuta mikononi mwa makomando wa M23

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,492
Reaction score
1,466
Taarifa ambazo hazikudhibitishwa na serikali ya DRC au kundi la M23, zimedai kwamba mnamo tarehe 5 February, 2026, bwana Erik D. Prince, mwenye kampuni ya mamluki nchini Marekani, alikamatwa na kundi la M23 huko Kivu kusini.

Prince aliwasili nchini DRC akitokea nchi jirani ya Burundi, inakosemekana alikuwa amezuwiliwa na nchi hiyo kwenda DRC.
Kwa kuwa aliamini uwezo wa vijana wake, kutokana na operation mbalimbali walizoshiliki duniani kote, aliamua kwenda.
Katika sakata lingine usiku wa kuamkia tarehe hiyo, vyanzo mbali mbali vililipoti upotevu/utekwaji wa wanajeshi waliokuwa katika maeneo ya mpakani, kitendo kilichosadikiwa kufanywa na kundi la M23.

Prince, ni rafiki wa karibu sana wa Donald J. Trump, na pia ni mfanyabiashara maarufu huko America.
Kabla ya haya yote, Prince alikuwa mwanajeshi nchini mwao, kwenye kikundi cha Navy Seal.

Inasemekana kundi lake lilishiriki vita vya nchi kama Haiti,Libya, Mozambique,Irak, Afghanistan na sasa RDC. Wachambuzi wa maswala ya kivita, wanamtuhumu kama mtu alieshiliki kuvugika kwa amani katika nchi zote alizopewa mikataba ya kulinda amani.

Ikumbukwe, kundi la Blackwater, ndo lililofanikisha operation ya kumuua Osama Bin Laden.
 
Unatupiga kamba mkuu,

Black water walimuua Osama??
Black water ni kina nani kwanza mkuu? Mkuu wao huyo fuatilia historia yake, utajua kina nani anafanya nao kazi.
 
Huyu huyu kundi lake lililoanya uhalifu wa kivita Iraq? Kuna nchi huwa zinatafutaga mabalaaa kwa nguvu! No wonder sababu za vita hazitajwi yanasemwa mengine.
 
Osama aliuwawa na Navy seals chini ya operation ya CIA.. acha uongo.
 
Osama aliuwawa na Navy seals chini ya operation ya CIA.. acha uongo.
Sikubali na sikatai. Soma kwanza hii mada na ujaribu kuelewa.


Hata nchi za kawaida sana, mambo yao ya kijeshi ni siri sana. Sisi ni kina nani watujuze mambo yao?

Ila,kumbuka tu. Kundi hili la mamruki, si kila mwanajeshi mstaafu anajiunga. CIA na Navy Seals ndo hupewa kipaumbele. Kwa hiyo, ulitegemea serikali iseme mercenaries ndo walilipwa wakafanya kazi?
Hata kama hawakumuua wao. Ikiwa hao ndo wachora map nzima mwanzo mwisho, alofanya kazi kubwa ni nani hapo?

Anyway, nisiaingilie saana,maana na mini nasoma sources mbali mbali,ndo nakujuza
 
Back
Top Bottom