Wakati club za Roma na Monaco zikiendelea kumpigia magoti Mou kutua kikosini kwao, habari zilizo chini ya kapeti ni kuwa Jose Mourinho kutua kwenye club ya Manchester United na Pep Guardiola kwenye club ya Manchester City.
Tuendelea kufuatilia!
Tuendelea kufuatilia!