mgweno tajiri
Senior Member
- Mar 8, 2014
- 167
- 29
Hata wakiifuta hbr tumepata
Redio ya Clouds ni ya wauza sembe..
Jamani nampendaga huyu mkaka na kipindi chake....loooh
Clouds ya Vilaza na wasiojitambua,wagonjwa wa ukimwi,wauza sembe na matapeli wa wasanii
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Clouds ya Vilaza na wasiojitambua,wagonjwa wa ukimwi,wauza sembe na matapeli wa wasanii
Ukimwi ni ugonjwa km magonjwa mengine mkuu acha unyanyapaaaa
?????Who is chonji
Swahiba arke ukuta halafu chonji ashindwe? Si rahisi kama AN NU angekuwepo lazima angedakwa tu maana troopS iliyokuwepo nje asingeweza kuruka ukuta yule.

sio tu watu kuruka bali hadi mzigo mwingine ulikuwa unatolewa nje, uliokamatwa sio wote..hiyo ni kwa mujibu wa watu walioshuhudia..nenda makanya magomeni ukapate hizo story yakhe
Chonji alikataa kuruka ila watu waliruka ukuta kule nyuma.....
sio tu watu kuruka bali hadi mzigo mwingine ulikuwa unatolewa nje, uliokamatwa sio wote..hiyo ni kwa mujibu wa watu walioshuhudia..nenda makanya magomeni ukapate hizo story yakhe
Dah fanya fasta kampatie tigo sasa
Dah fanya fasta kampatie tigo sasa