Tetesi: Mtangazaji wa Clouds kwenye ishu ya Chonji

Clouds ya Vilaza na wasiojitambua,wagonjwa wa ukimwi,wauza sembe na matapeli wa wasanii

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

Catherine sidhani kama ni sahihi kutumia neno wagonjwa wa ukimwi ni sahihi , naona kama ni kunyanyapaa
 
Mussa Hussein alishatumwa sauzi kupeleka mzigo Mara kibao na Abdul nsembo
 
Bado mnahangaika tu na cloudz jaman. Hao vichaa sina muda nao
 
hata kama iyo siku hakuwepo ila ukaribu alio nao na hao watu unaweza kuleta maswali
 
Swahiba arke ukuta halafu chonji ashindwe? Si rahisi kama AN NU angekuwepo lazima angedakwa tu maana troopS iliyokuwepo nje asingeweza kuruka ukuta yule.

Mbona bondia aliruka ukuta!
 
dah! watu mnachambua balaaa....

Mwanahip hop darasa, kisa cha kutovuma clouds ni mtangazaji mmoja wa bongo fleva, anataka kumpa tigo mchizi, na mchizi si mtu wa hizo! beef!
Yule presenter mwingine, mrembo kuliko ht bsadhi ya mabint, nae wale wale, anapakatwa!
 
jamani nionyeshe nami nimuonje
 
Duuu kama Nugaz na yeye anauza bwimbwi basi ipo siku na yeye atakuja kuwa teja.

Ha ha ha hakuna kitu wauza ngada hawapendi kama muuzaji akianza kutumia ngada lazima atolewe kwenye list coz umakini wa kazi unashuka
 
Mwanahip hop darasa, kisa cha kutovuma clouds ni mtangazaji mmoja wa bongo fleva, anataka kumpa tigo mchizi, na mchizi si mtu wa hizo! beef!
Yule presenter mwingine, mrembo kuliko ht bsadhi ya mabint, nae wale wale, anapakatwa!

aiseeeeehhh
 
why clouds kuna mashoga sana?
 
Back
Top Bottom