juzi tu kusema video ya ali kiba iko tayari, thread ikafutwa, nasubiri siku ikitoka huyo mod aje aniombe radhi
Dah fanya fasta kampatie tigo sasa
Chonji alikataa kuruka ila watu waliruka ukuta kule nyuma.....
Clouds ya Vilaza na wasiojitambua,wagonjwa wa ukimwi,wauza sembe na matapeli wa wasanii
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Swahiba arke ukuta halafu chonji ashindwe? Si rahisi kama AN NU angekuwepo lazima angedakwa tu maana troopS iliyokuwepo nje asingeweza kuruka ukuta yule.
dah! watu mnachambua balaaa....
Aisee dada catherine acha maneno makali!!!!Clouds ya Vilaza na wasiojitambua,wagonjwa wa ukimwi,wauza sembe na matapeli wa wasanii
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Mwanahip hop darasa, kisa cha kutovuma clouds ni mtangazaji mmoja wa bongo fleva, anataka kumpa tigo mchizi, na mchizi si mtu wa hizo! beef!
Yule presenter mwingine, mrembo kuliko ht bsadhi ya mabint, nae wale wale, anapakatwa!
Nakuaminia mdada wa mujini...thou umeadimika sana
Duuu kama Nugaz na yeye anauza bwimbwi basi ipo siku na yeye atakuja kuwa teja.
Nipo bize na kampeni za uchaguzi serikali ya mtaa
Mwanahip hop darasa, kisa cha kutovuma clouds ni mtangazaji mmoja wa bongo fleva, anataka kumpa tigo mchizi, na mchizi si mtu wa hizo! beef!
Yule presenter mwingine, mrembo kuliko ht bsadhi ya mabint, nae wale wale, anapakatwa!
Mwanahip hop darasa, kisa cha kutovuma clouds ni mtangazaji mmoja wa bongo fleva, anataka kumpa tigo mchizi, na mchizi si mtu wa hizo! beef!
Yule presenter mwingine, mrembo kuliko ht bsadhi ya mabint, nae wale wale, anapakatwa!
Jamani...na wewe unagombea?
ha ha ha mimi mwakani nagombea udiwani......ila sasa hv tupo bize na serikali za mitaa kwa ajili ya kuandaa mazingira